PICHA 12: Muonekano wa 'Daraja la dhahabu' la Vietnam


DARAJA la dhahabu (Golden Bridge) ama Cau Vang linatajwa kuwa moja ya vivutio bora vya utalii katika nchi ya Vietnam ambapo limefunguliwa rasmi mwezi June lakini likivuta hisia za watalii wengi kutoka sehemu mbalimbali duniani.Liko umbali wa futi 3,280 (zaidi ya mita 1,000) kutoka usawa wa bahari katika mji wa Da Nang na urefu wake ni futi 492 (mita 150).Mji wa Da Nang zamani ulijulikana zaidi kutokana na kuwa base ya Marekani wakati wa vita ya Vietnam, na sasa, ni maarufu kama kituo cha mapumziko ukikaribisha maelfu ya watalii.Ubunifu mkubwa wa daraja hilo umefanywa na Kampuni ya TA Landscape Architecture ya mjini Ho Chi Min, Vietnam.Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "PICHA 12: Muonekano wa 'Daraja la dhahabu' la Vietnam"

Post a Comment

loading...